• elisheshe@yahoo.com
  • +255765837485
  • On: 22 Aug, 2023
  • Admin

Maburudisho ya wachungaji vudee

K.K.T DAYOSISI YA PARE,JIMBO LA MAGHARIBI, RIPOTI YA MABURUDISHO YA WACHUNGAJI (Na. Mch.Joasi Mpinda)

  • On: 23 Aug, 2023
  • Admin

Mkutano wa Injili mwaka 2019

2 Mambo ya Nyakati 7:14-" Ikiwa watu wangu walioitwa kwa jina langu ,watajinyenyekesha na kuomba na kunitafuta uso na kuziacha njia zao mbaya basi nitasikia toka mbinguni na kuwasamehe dhambi yao,na kuiponya nchi yao." Kwa kutambua hilo Wacharo wa Vudee (wanaoishi nje ya Vudee )waliandaa Mkutano wa Injili katika vituo viwili vya Vudee kati (missioni) na Ndolwa kuanzia tarehe 15/09/019-22/09/2019. Hii ni taarifa ya yaliyojiri kwenye mkutano huo

  • On: 23 Aug, 2023
  • Admin

Mkutano wa Injili 2020

Wanawake kulingana na neno la Mungu wana nguvu kubwa sana wamepewa uwezo wa kipekee ambao wakiugundua na kuutumia vyema watafika mbali katika ndoto na malengo yao.Kila mwanamke wa Vudee akiitambua nguvu hii na kusimama kwenye nafasi yake kwa uhodari bila woga wowote ataweza kulijenga kanisa la Mungu .Semina hizi zinalenga katika kuwafundisha wanawake uwezo wa Mungu uliopo ndani yao na jinsi ya kuutumia kujenga kanisa la Mungu.Vijana wa Vudee wana shida moja kubwa ya kutohudhuria makanisani .Vijana wengi wakishapata kipaimara huwaonekani tena makanisani. Kuna haja kubwa ya kuimarisha imani yao kwa Mungu kwa njia hii ya semina.Semina hizi zinalenga katika kuwafundisha vijana kuhusu ufalme wa mbinguni na jinsi unayopatikana.Wana semina wanatakiwa wawe chachu na mbegu kwa vijana wengine.

  • On: 23 Aug, 2023
  • Admin

Mkutano wa Injili 2021

Ifuatayo ni taarifa ya mkutano wetu wa Injili katika ushirika wa Vudee uliofanyika tarehe 12/09/2021 hadi 19/09/2021. Mkutano wetu wa mwaka 2021 ulifanyika katika vituo vitatu.

  • On: 23 Aug, 2023
  • Admin

Mkutano wa Injili 2022

Mkutano wa Injili 2022

  • On: 23 Aug, 2023
  • Admin

TAARIFA FUPI YA MAENDELEO VUDEE

Muhtasari huu umeandaliwa utusaidie kuwa na uelewa wa pamoja kuhusu mambo yaliyofanyika Vudee na kutoa mwanga tuweze kushiriki kufanya ambayo hayajafanyika kwa maendeleo ya Vudee na ya kanisa. Imeandikwa na Dr. A.R Senkoro

  • On: 23 Aug, 2023
  • Admin

UNUNUZI WA VYOMBO NA VIFAA VYA KUHUBIRIA INJILI USHARIKA WA VUDEE NA NDOLWA - 2022

UNUNUZI WA VYOMBO NA VIFAA VYA KUHUBIRIA INJILI USHARIKA WA VUDEE NA NDOLWA

  • On: 29 Aug, 2023
  • Admin

Jubilee ya miaka 100 ya Injili Usharika wa Vudee

Jubilee ya Miaka 100 ya Injili Usharika wa Vudee(May 1909- May 2009). Utamaduni, Injili, Elimu na Afya Kabla, Wakati na baada ya wamisionari

  • On: 31 Aug, 2023
  • Admin

Kongamano la wanawake dayosisi ya Pare- 2022

Bwana Yesu asifiwe.Nawaletea siku ya jana ya ufunguzi wa Kongamano la wanawake wa Dayosisi ya Pare linaloitwa Askofu na wanawake linalofanyika katika Usharika wa Vudee 12/8/2022 hadi 14/8/2022.

  • On: 05 Nov, 2023
  • Admin

Ibada ya kumbariki THomas Mkiramweni kuwa mchungaji

Ibada ya kumbariki THomas Mkiramweni kuwa mchungaji