• elisheshe@yahoo.com
  • +255765837485

Sadaka ya Ukoo wa Shaidi 2017

Angalau mara moja kwa miaka miwili ukoo wa Shaidi popote pale walipo hukusanyika ili kukutana na kutoa shukrani kwa Mwenyezi Mungu. Shughuli hiyo ya shukrani pamoja na mambo mengine huambatana na kufanya maombu, kushirili ibada kanisani, kutoa mkono wa msaada kwa wahitaji, kupata cchakula cha pamoja na kufanya kikao cha ukoo. Kwa mwaka 2017 tarehe 13 mpaka 15 oktoba ukoo ulikutana kijijini vudee kwa lengo la kutoa sadaka ya ukoo, kufungua nyumba ya ukoo na ubatizo wa mtoto.

Uzinduzi wa Nyumba ya familia ya Marko Shaidi

Uzinduzi wa Nyumba ya familia ya Marko Shaidi iliyopo kijiji cha vudee, wilaya ya vudee

FAMILY MEETING ON 15th DECEMBER 2018

Ndugu zangu tunapokaribia kumaliza mwaka huu wa 2018, hakika mioyo yetu imejaa shukrani kwa Mungu. Tunaweza kusema kwa ujasiri kabisa kuwa, “mkono wa Bwana ulikuwa pamoja nasi”. Hatukubarikiwa tu kwa vitu vya kimwili bali pia vya kiroho, tumekua katika maisha yetu ya kiroho. Isitoshe, ulinzi wa Mungu umekuwa juu yetu. Tuseme nini basi, bali kushukuru. Sasa tunapojongea kuingia mwaka mpya, mwaka uliokubalika mbele za Bwana, mwaka 2019, ninawiwa kushirikiana nanyi maneno machache tu kama kumbukumbu.

NENO LA SHUKRANI KWA WAZAZI WETU SIKU YA SHAIDI DAY ILIOFANYIKA TAREHE 06/04/2019 NYUMBANI KWA WILFRED A. SHAIDI.

NENO LA SHUKRANI KWA WAZAZI WETU SIKU YA SHAIDI DAY ILIOFANYIKA TAREHE 06/04/2019 NYUMBANI KWA WILFRED A. SHAIDI

Kumbukumbuku ya Maisha ya Mwalimu Marko Nziamwe Shaidi na Mkewe Merina

Kumbukumbuku ya Maisha ya Marko Nziamwe Shaidi na Mkewe Merina

Rando ya Enikunda Shaidi

Somo hili limetolewa na Nangela Elangwa Mcharo siku ya rando ya Enikunda Shaidi.

Sherehe ya kumshukuru Mungu kwa miaka 50 ya ndoa ya Mwalimu Marko na Bibi Merina Shaidi

Sherehe ya kumshukuru Mungu kwa miaka 50 ya ndoa ya Mwalimu Marko na Bibi Merina Shaidi

Harusi ya BwanaVincent Marko Shaidi na Bibi Margareth Matthew Salukele

Harusi ya BwanaVincent Marko Shaidi na Bibi Margareth Matthew Salukele

Shukrani ya pekee ya Grace Marko Shaidi

Shukrani ya pekee ya Grace Marko Shaidi kwa Kumshukuru Mungu kwa maisha yake